KITABU cha Muongozo wa Mpira wa miguu kuanzia ngazi ya umri mdogo, kinachambua hatua za ukuaji na mahitaji ya mwili kufuatisha program nzima ya kukuza vipaji.
Download Bure
Showing posts with label Vitabu Michezo. Show all posts
Showing posts with label Vitabu Michezo. Show all posts
Monday, August 13, 2012
Saturday, July 14, 2012
THE WORK OF PROFESSIONAL FOOTBALL
KUA mwanasoka wa kulipwa si kazi rahisi kama wengi wanavyofikiria, kua mchezaji wa kulipwa kuna mambo mengi yanayopaswa kuzingatiwa. Kitabu hichi ni moja kati ya vitabu watumiavyo wachezaji wengi wa kulipwa kuiendea safari yao ndefu ya mafanikio.
Download Bure
SOCCER - THE SCIENCE OF TRAINING
KUFANYA mazoezi ni kati ya shughuli nzito zaidi kuliko mechi yenyewe, ili mazoezi na matayarisho yawe na msaada kwa mlengwa basi kuna sayansi kuanzia kutengeneza misuli, kutengeneza spidi kufikia kikomo chako na ustahamilivu. Kudownload kitabu hichi kutakupatia manufaa mengi na ni bure.
Download Bure
SOCCER IN A FOOTBALL WORLD
KWA taifa kubwa na lenye mafanikio kimichezo kama MAREKANI ni jambo la ajabu kuona hawana mafanikio katika soka, ila jambo lililopo ni wao kujipanga kuliendea hilo. Kitabu hichi kitakupa taswira ya nini kifanyike kufanikiwa kwenye mipango ya soka endelevu na lenye mafanikio uwanjani.
Download Bure
SCIENCE AND SOCCER
MWILI wa mwanadamu ni kama mashine inayohitaji uangalizi kama mara kwa mara unahusishwa na matumizi ya kupita kiasi na mapumziko yanakua si ya kutosha. Kupitia sayansi ya michezo, ni rahisi kucheza mchezo wa mpira wa miguu kwa uhuru na kujiamini.
Download Bure
NUTRITION AND FOOTBALL
LISHE na mpira wa miguu na michezo yote inayotumia nguvu ni vitu visivyotenganishwa. Kula kama kula kuna wakati hua si msaada kwa afya ya kimichezo. Jua nini unapaswa kula na kwa wakati gani hilo ndio hua swali wajiulizalo wanamichezo wengi. Pitia kitabu hichi, na ni muhimu kwa wote wanaochukulia mazoezi kwa umakini.
Download Bure
SOCCER COACHING MANUAL
KITABU hichi kitafaa sana kwa makocha hasa wa mtaani kwa hapa Tanzania, kwa wale wasio na mpangilio ama wanaohitaji mpangilio uliopitishwa na FIFA.
Download Bure
SOCCER MATCH ANALYSIS
KITABU chenye maelekezo yatakayokkuwezesha kutambua kwa ufasaha jinsi ya kuchambua mpira. Kukuongezea ufanisi wa kujua mpira wa miguu.
Download Bure
WORLD SOCCER - JUNE 2012
WORLD SOCCER gazeti la mpira wa miguu kwa mwezi june 2012, utapata kuwajua mastaa wajao wa Timu ya taifa Uingereza, mchanganuo juu ya Ronaldo na Messi, hadithi ya kusisimua kuhusu Chelsea ilivyochukua kombe la UEFA Munich.
Download Bure
WORLD SOCCER - MAY 2012
WORLD SOCCER May 2012, jua siri za mastaa wa UERO 2012, ligi ya Brazil, interview kutoka kwa Carlo Ancelptti, magoli yanayovunja rekodi ya Messi na Ronaldo. Mjue kwa undani David Silva
Download Bure
WORLD SOCCER - FEBRUARY 2012
WORLD SOCCER February 2012, Drogba: Staa mkubwa wa Afrika, MApenzi na Soka: Uchambuzi kuonesha kwa kiwango gani kufanya mapenzi kabla ya mechi kubwa kunaathiri utendaji. Utapata kuwajua mabeki bora wa Ulaya. Anelka akiwa China. Mwongozo wa mashindano ya Afrika
Download Bure
WORLD SOCCER - NOVEMBER 2010
WORLD SOCCER November 2012, unakumbuka Rooney alivyobadili maneno yake ya kuihama MAnU? PELE akiwa na miaka 70, Skendo za FIFA, Interview ya kusisimua na MESSI.
Download Bure
BECKHAM - BOTH FEET ON THE GROUND
KITABU cha maisha binafsi ya mwanakabumbu maarufu duniani: BECKHAM, jua undani na mikiki mikiki ya maisha yake binafsi
Download Bure
Subscribe to:
Posts (Atom)
Powered by Blogger.